Umeambiwa the heart of websites its html. So huwezi kufanya css kama hujui html. Kwanza elewa architecture of the web, elewa diffetent technologies na kazi zake. Hakikisha kwanza una general understanding "the big picture" then uanze kujifunza vipande vidogo vidogo.
mkuu, unge-summarise basi angalau nijue hiyo big picture ni ipi na hizo different techologies ni zipi ili nizifanyie kazi coz najua zipo approaches mbali mbali za kusoma hiyo kitu na ndiyo hasa nilichotaka kusikia toka kwenu.