CHUAKACHARA
JF-Expert Member
- Jun 3, 2011
- 12,358
- 6,422
jamani naomba kujua kama TCU wameshatoa selection za vyuo vikuu. Asante.
bado mkuu vuta subira..ila sie airtel yatosha ndo imetujuza mimi nimechaguliwa ardhi university.
jamani naomba kujua kama TUC wameshatoa selection za vyuo vikuu. Asante.
TUC hawahusiki na selection ,ila TCU bado hawajatoa selection mkuu sema tu kuna watu walibahatika kujua wamepangiwa wapi by Airtel yatosha
bado mkuu vuta subira..ila sie airtel yatosha ndo imetujuza mimi nimechaguliwa ardhi university.
umeulizwa??
umeulizwa??
kale kichurii huko....
Nimewauliza wote jamani!
TCU haitoi majina ya waliochaguliwa. Majina yanatolewa na vyuo vikuu husika. TCU wanachofanya ni kuweka utaratibu mmoja wa kuchagua wanafunzi kwa vigezo vilivyowekwa na vyuo vyenyewe wakizingatia vigezo elekezi vya TCU. Baada ya vigwezo hivyo kukamilika kwa utaratibu wa TCU, basi TCU hupeleka majina kwenye vyuo husika ili wahakiki kama waliochaguliwa wamekidhi vigezo vyao. Vyuo husika wakishajiridhisha ndio wanatangaza majina katika tovuti zao. Inaonekana ndugu yangu hujaelewa maana ya CAS. TCU haina chuo chake kikuu cha kujitangazia majina yake. Ni juu yako kwenda kwenye tovuti za vyuo ulivyopeleka chaguo lako na ukaandikiwa YES, you have met minimum requirement. Kizazi hiki cha Mulugo nacho!!! kazi kwelikweli.
umeanza vizuri ,ukaelezea vizuuri ila umemaliza vibaya mkuu.
Mura amaghana.
namaiyaah muraa aghao.

ulimuuliza akwambie amechaguliwa wapi eh? basi we noma
acha dharau! Kizazi cha mulugo ndo nn sasa! Kwan nan acyejua kwamba TCU kaz yao ni ku admitt wanafunzi but registration unafanyiaa chuoni..! Jipangee unajiona umetoaa ushaur kumbe huna lolote