Philipo D. Ruzige
JF-Expert Member
- Sep 25, 2015
- 9,429
- 27,131
- Thread starter
-
- #21
Umekwamia wapi?( screenshot kama inawezekana)Umefanyaje kwani namie inagoma
Umeweka salio kiasi gani kwa kadi yako?Hello Tech. guys.
Nimetengeneza hii M-Pesa Mastercard lakini imekataa kwenye playstore, aliexpress na paypal.
Yoyote ambae ameshwahi kutumia huduma hii kwa mafanikio anieleweshe.
Mana hizo website nikitumia crdb visa card inakubali tu bila shida.
Nimewapigia voda wanasema kama haitaki nisitumie tu niendelee na visa card ya benki.
Regards.
Inaingia wapi SASA mbona tunatishana??Hawa jamaa hawapokei refund. Hela ikirudishwa haiingi Mpesa
Niweke uzoefu wangu kwa mtandao wa Kikuu.comInaingia wapi SASA mbona tunatishana??
Mkuu Inakuwaje?Hawa jamaa hawapokei refund. Hela ikirudishwa haiingi Mpesa
Nje ya mada kidogo mkuu, inachukua siku ngapi mzigo nilionunua Aliexpress kunifikia bongo?
Nje ya mada kidogo mkuu, inachukua siku ngapi mzigo nilionunua Aliexpress kunifikia bongo?
Umekwamia wapi?( screenshot kama inawezekana)
Weka pesa. (lakini weka ya kutosha)
Nakili nambari zako kwa ufasaha zaidi
Unajaribu kulipia web gani?
Ina expire mwaka gani hiyo kadi yako?Jamaa wameanza kuzingua au wanatuibia kiaina!!
Zaidi ya Mara mbili sasa nimehamisha pesa kutoka MasterCard kuja M-PESA tatizo hela inapunguzwa ila haiingii mpesa