Pia muda mwingine ujue umeme umekatika au hakuna connection ya hicho kidude na meter
Mkuu kukiwa na tatizo la kukatika umeme line yenu huwa inatokea hii error hata kama unit zipo. Subiri umeme urudi line yenu kisha weka token ya huo umeme uliouziwa. Fuatilia jirani waliungwa line hiyo au piga simu TANESCO.Wanajamvi naombeni msaada umeme umeisha kabisa kwenye luku yangu kila nikiingiza TOKEN inatokea error 77. Msaada please.Token namba zote ni sahihi kabisa
Mkuu, yangu inaonesha REJECT ninapoingiza tokeni. Kwann?kama hyo ndo mita namba yako andika 024213190598024213190598
jumla ztakuwa namba 24 then ENTER
wakat unafanya hayo hakikisha hcho kidude kiwe kwenye socket
italeta salio la luku 0.00
halafu jaza luku
umeme ukiwa mdogo hzo luku znajikata! kwa mie napenda kwa kuwa znaokoa vitu visiungue! ila tanesco uwaambie ili waongeze transformer eneo lenuKwa upande wangu unakuta unit zipo ila kila ikifika saa nne au saa tatu usiku unakatika unarudi saa mbili au saa tano asubuhi kila siku kama formula.
Hizi luku ni majanga kwakweli
Nasikia hata ukija umeme mkubwa inajikata piaumeme ukiwa mdogo hzo luku znajikata! kwa mie napenda kwa kuwa znaokoa vitu visiungue! ila tanesco uwaambie ili waongeze transformer eneo lenu
Na hilo ndio tatizo kubwa la hizi REMOTE....kukatika Spring za BETRI na ukiwaendea TANESCO hawana msaada ( kiufundi) zaidi ya kukupa maujanja wakikwambia uweke karatasi ya Sigara (ile inayokaa ndani ya paketi) Alminium....Niliisolve kesho yake, tatizo lilikuw spring ya betri ilikatika, hivyo ki-remote hakikuwa na chaji.
Nafikiri ni tatizo la Low Voltage.Kwa upande wangu unakuta unit zipo ila kila ikifika saa nne au saa tatu usiku unakatika unarudi saa mbili au saa tano asubuhi kila siku kama formula.
Hizi luku ni majanga kwakweli
P-Cut meter yangu inasoma na umeme hauingii ndani tatizo ninikama hyo ndo mita namba yako andika 024213190598024213190598
jumla ztakuwa namba 24 then ENTER
wakat unafanya hayo hakikisha hcho kidude kiwe kwenye socket
italeta salio la luku 0.00
halafu jaza luku
P-Cut meter yangu inasoma na umeme hauingii ndani tatizo nini