NENDA LYAMUNGO LODGE,NI KAMA UNAENDA SUA MAIN CAMPUS ILA UTAKATA KULIA (UKIWA SUA ROAD),25k ila utalala kwa amani kabisa,nakukumbusha usilale nyumba ya 10k,utapata taabu sana;
Piece mountain lodge hii ipo maeneo ya rock garden eneo la utulivu sana upepo na kijani ya kutosha sana vyumba Safi aisee binafsi kila napoingia moro hujikuta naingia pale
Kuna ile ya gorofa pale katibu na shely n stand ya dodoma wanaita sijui jovu nini huko,
Bei kubwa huduma mbovu ndan pabovu...kama wamo humu wajue hivo.
Nilipokuwa napita usiku naona mataa kama yote ya rangi rango gorofan nikjua kuna la maana kuumbe
Piece mountain lodge hii ipo maeneo ya rock garden eneo la utulivu sana upepo na kijani ya kutosha sana vyumba Safi aisee binafsi kila napoingia moro hujikuta naingia pale