Msaada: Lodge nzuri maeneo kuanzia Airport hadi Banana Dar es Salaam

Warrior

JF-Expert Member
Oct 2, 2015
733
752
Habari wadau,

Naomba kupewa maelekezo wapi nitapata lodge nzuri kwa maeneo hayo. Nategemea kukaa DSM kwa siku kadhaa, bajeti yangu ni Tsh. Elfu 20 kwa siku.

Asanteni.
 
Back
Top Bottom