Msaada Link za LIVE TV za Bongo - Dau Nono

muvika online

JF-Expert Member
Nov 27, 2016
375
283
Habari!

Naomba mwenye uwezo wa kunisaidia link za Live TV cha channel za hapa Tanzania hasa:
- TBC
- ITV
- Wasafi
- Clouds
- Star TV na channel za kiswahili zilizomo kwenye king'amuzi za Azam.
 
Kwanini unamuita mwenzako mbinafsi?👇👇

mbona wewe umefanya kitu kile kile alichokifanya mwenzako👇👇

Kwanini umwambie mwenzako aondoe hiyo link?

au kwasababu umeomba wewe unahisi wengine hawa ihitaji?
Mimi ndio nimeanzisha threads nikiwa na maana nahitaji msaada mimi mwenyewe ila kama kuna mtu anahitaji anafungua tu threads kwani hakuna gharama
 
Kwanini unamuita mwenzako mbinafsi?👇👇

mbona wewe umefanya kitu kile kile alichokifanya mwenzako👇👇

Kwanini umwambie mwenzako aondoe hiyo link?

au kwasababu umeomba wewe unahisi wengine hawa ihitaji?
🤣 🤣 🤣 🤣
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom