Simu tangu inasupport 4G na sizungumzii internet maana hata mnara hausomi kabisa, no serviceUkae ukijuaa ttcl haiwezi kukaaa kwenye simu hizi ndogo inagomaa maana simu ndogo ni 2g ,, ili line ya simu isome lazma simu yako iwe inasupport 3g ,, na simu za touch mpaka isome lazma hiyo line uiwekee data
shushushu VIP
uko maeneo gani kwanza?Inatumia line mbili.
Nimejaribu line kuiweka line 1 na 2 kote haisomi
Sent using Jamii Forums mobile app
Niko Daruko maeneo gani kwanza?
eka sim card iwe line 1
nenda APN andika internet kwa herufi ndogo
nenda NAME andika TTCL kwa herufi kubwa
save...
restart simu yako
fanya hayo nliyokuelekeza kwanza...Niko Dar
Shida sio kwamba haishiki internet, ni kwamba mnara hausomi hata mtandao wa kawaida, "emergency calls only"
Sent using Jamii Forums mobile app
Imegomafanya hayo nliyokuelekeza kwanza...
kua Dar doesnt mean ndo net inakua poa,kuna maeneo hata pale town tu TTCL haiko stable,kuna maeneo ukiwa nje ya nyumba inasoma ukiingia ndani imakata...
fanya nlivokuelekeza kwanza ikigoma njoo tena
simu yako ni 3G??
kama umefanya yote hayo haikubali basi wapigie namba 0222100100 kwa kutumia line tofauti na TTCL...
Asantekama umefanya yote hayo haikubali basi wapigie namba 0222100100 kwa kutumia line tofauti na TTCL...
kama una line ingine ya TTCL inayofanya kazi piga tu 100
Mfano kama mimi natumia tecno c9mkuu ni simu gani? TTCL 4G yake ni band 1800 hivyo si kila simu ya 4G ina band hio, pengine yako inakubali 4G lakini kwa band nyengine. nenda setting kisha about nisomee model ili tuangalie band zake.
inakubali, inayo 1800 naiona hapa.