Snrmoudy
JF-Expert Member
- Jul 6, 2016
- 285
- 177
Naomba ufumbuzi kidogo kwa wataalam maana mimi sina utaalamu. Ninatumia Laptop ya Dell xps L321x.
Shida yake kuna muda hua inaleta mistari ya rangi na kutoka. Naomba kujua kua tatizo litakuwa nini, kioo au mkanda.
Wataalam au mwenye idea anipe.
Pichani kama inavyoonekana
Sent using Jamii Forums mobile app