Msaada: Laptop yangu ina tatizo la mistari kwenye Screen

Gospel Preacher

JF-Expert Member
Jan 17, 2018
237
263
Ndugu zangu naomba kusaidiwa ama kuambiwa ni nini hiki au nifanyeje ili kutatua maana imekuwa ni kero kwangu juu ya laptop yangu.

Model - Lenovo G 580
Windows- windows 7

Tatizo hili hutokea pale ninapoiwasha huwa inakaa muda hata wa dakika 10 ndio naipata screen na kazi zangu zinaendelea.
Naombeni msaada wataalam
IMG_20180919_090223.jpg
IMG_20180919_090149.jpg
IMG_20180919_090217.jpg
IMG_20180919_090315.jpg
 

Ochumeraa

JF-Expert Member
May 18, 2015
4,477
5,620
Naona raia wengi wanasema ni display iliwahi nitokea hata Mimi pia,inafanya hivyo baada ya mda kidogo inarejea kwenye hali yake ya kawaida cha ajabu nilipoipeleka kwa fundi tuliona tatizo ni RAM akibadilisha RAM PC inarun normal ila akiiweka ram ya mwanzo inarudia hayo mapicha picha....Kwahiyo ni vyema ukapeleka kwa fundi unayemuamini aishughulikie
 
0 Reactions
Reply
Top Bottom