msaada.laptop yangu inanizingua

msaada.laptop yangu inanizingua

Mndengereko

JF-Expert Member
Joined
Mar 24, 2011
Posts
7,306
Reaction score
3,413
natumia sony vaio na os ya window 8takriban kipindi cha miezi tisa nyuma computer yangu ilianza tabia ya kujorestart ghafla mara tu unapoishawa baadae ikaja ikakaa sawa then ikaanza tatizo la kustack ghafla tu unapoitingisha kwa mfano unaiotoa kwenye meza na kuweka mapajani kwa kifupi ilikuwa haitaki mtikisiko wa aina yoyote ule hata uwe mdogo kiasi gani sasa,wiki moja nyuma kutoka sasa imeanza tatizo jingine haiwaki ukiwasha mpk uchomeke waya wa umeme kwenye computer hata kama betri ina charge full jana jioni hata ukiweke waya wa umeme bado kuwaka kwakeni mtihano kuna saa inawaka kuna saa haiwaki yaani ni kubahatisha tu,kwa mwenye kujua nini kinaweza kikawa tatizo la computer yangu,na nini napaswa nifanye?? Natanaguliza sukrani,niko mbioni kwenda kumuona fundi lakini ningependa kusikia mawazo yenu ili nipate mwanga wa kujua tatizo ahsanteni
 
1. Check kama Memory(RAM) zimekaa kwa Slot yake vizuri.
2.Check kama Processor Cooling Fan inafanya kazi vizuri.

Kama vp ni PM mimi ni FUNDI nikutafute nije kukutatulia tatizos zako.
 
Back
Top Bottom