Jeffer
Member
- Aug 14, 2012
- 9
- 2
Nina laptop yangu aina ya samsung, tatizo hii laptop ukiwa unatumia bila kuconnect kwenye umeme halafu ikakata chaj ukija kuiwasha haiwaki kabisa, inaaanza kama inawaka then inablink tu. Hapo hadi uiformat ndo itakubal hiv tatizo litakuwa n nn wadau naomba msaada kwa hilo!