Msaada, Laptop yangu imegoma kutoa sauti!

Msaada, Laptop yangu imegoma kutoa sauti!

Makaura

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Posts
892
Reaction score
295
Ndugu zangu, habari za juma pili, natumia laptop Hp, sijawahi kugusa chochote kwenye system, ila imetokea ghafla nikifungua chochote chenye sauti ie video, Youtube, nyimbo na vingine vyote haitoi sauti kabisa.

Nimejaribu kuwasha kwenye sehemu ya spika(kialama cha mute) lakini sikufanikiwa! Pia nimejaribu kuzima na kuwasha bado haijakubali, hata pia kwa kugonga gonga bado haikubali! Je, nifanyeje? Asanteni
 
Ndugu zangu, habari za juma pili, natumia laptop Hp, sijawahi kugusa chochote kwenye system, ila imetokea ghafla nikifungua chochote chenye sauti ie video, u tube, nyimbo na vingine vyote haitoi sauti kabisa, nimejaribu kuwasha kwenye sehemu ya spika(kialama cha mute) lakini sikufanikiwa! Pia nimejaribu kuzima na kuwasha bado haijakubali, hata pia kwa kugonga gonga bado haikubali! Je, nifanyeje? Asanteni

unagonga gonga tena? Don't do that,itakua ni driver issues unatumia OS au windows gani?
 
kivipi ndugu, embu nieleweshe vizuri niweze kufanya

Bonyeza start kisha andika restore , itatokea neno restore to an earlier time. Then chagua hiyo link. Sorry inaniwia ngumu kuielezea vizuri
 
Tumia ear phone kusikilizia kama sauti inasikika ujue spika zimeungua kama haitoi sauti ujue kuna audio driver problem
 
Yangu ni HP kama yako, ilikuwa inasumbua sauti nilijaribu kila njia ikagoma, nikawa natumia earphone ikaanza kupona ila ikawa inachagua media za kutoa sauti.

Inaelekea hili ni tatizo kubwa la hp
 
Ndugu zangu, habari za juma pili, natumia laptop Hp

Taja version name/product name ya hiyo HP uitumiayo...

Pia nimejaribu kuzima na kuwasha bado haijakubali, hata pia kwa kugonga gonga bado haikubali!

Tatizo la sauti huwezi kulitatua kwa namna hii...
 
Yawezekana ndugu, mana nipo hapa na mtaalam wa IT naye ameshndwa kabisa
Yangu ni HP kama yako, ilikuwa inasumbua sauti nilijaribu kila njia ikagoma, nikawa natumia earphone ikaanza kupona ila ikawa inachagua media za kutoa sauti.

Inaelekea hili ni tatizo kubwa la hp
 
Imekubali bada ya kupres mute ya kwenye keyboard, ila bada ya kuzma ikagoma tena
 
Back
Top Bottom