Wong Fei
JF-Expert Member
- Apr 13, 2016
- 5,526
- 7,287
MAGUFULI anasema kazi tu, ww MAGAME!!
Utakuta eti na ww uko 18+. Akili za Game!!
Hebu kamuulize huyo mwenyekiti wako aliposema hapa kazi tu na akazuia ajira alikuwa ana maanisha nn?
Ww akili zako ndogo sana tangu umeanza kutafuta hela kweny account yako inasoma hata bilion 1?
Ndiyo tatizo ukiwa una akili za kimaskini kila wakati unafikiri kila kitu ni anasa tu.