Msaada laptop nzuri kununua

Msaada laptop nzuri kununua

fungi

JF-Expert Member
Joined
Mar 18, 2014
Posts
2,539
Reaction score
4,676
Wana JF naombeni msaada wa vitu gan napaswa kuangalia ninapo nunua laptop ukinitajia na price ntashukuru zaid
Natung shukran
 
Wana JF naombeni msaada wa vitu gan napaswa kuangalia ninapo nunua laptop ukinitajia na price ntashukuru zaid
Natung shukran

Angalia uwezo wa RAM na Processor kisha uangalie ni Operating System gani utapenda kutumia ili uzingatie minimum requirement with regard to RAM na Processor.

Kuhusu bei kwa sasa Computer(Laptop) mpya inauzwa kati ya laki 5 na kuendelea, ila kwa desktop kuanzia laki 2 na kuendelea.
 
Angalia uwezo wa RAM na
Processor kisha uangalie ni Operating System gani utapenda kutumia ili
uzingatie minimum requirement with regard to RAM na Processor.

Kuhusu bei kwa sasa Computer(Laptop) mpya inauzwa kati ya laki 5 na
kuendelea, ila kwa desktop kuanzia laki 2 na kuendelea.

Minimum requirments zip hzo mkuu
 
Mi naomba kutajiwa jina la kampuni inayotengeza laptop zinazoaminiwa zaidi na jina la hiyo laptop
 
Bajeti yako ndio ita determine aina ya PC utakayoweza nunua.
  1. Ili kupata msaada stahili ungesema range ya bayeti yako ni tsh ngapi? ,
  2. Je hiyo Pc unalenga kufanyia kazi gani?
Majibu ya hayo maswali mawili yatatusaidia kuweza kukutajia ni pc ipi unapaswa kununua na ni kwa tsh ngapi, hata mahala pa kunu nunua utapewa maelekezo. KARIBU

Wana JF naombeni msaada wa vitu gan napaswa kuangalia ninapo nunua laptop ukinitajia na price ntashukuru zaid
Natung shukran

Angalia uwezo wa RAM na Processor kisha uangalie ni Operating System gani utapenda kutumia ili uzingatie minimum requirement with regard to RAM na Processor.

Kuhusu bei kwa sasa Computer(Laptop) mpya inauzwa kati ya laki 5 na kuendelea, ila kwa desktop kuanzia laki 2 na kuendelea.

Minimum requirments zip hzo mkuu
 
Minimum requirments zip hzo mkuu

Kila Operating System hua na minimum requirements ili iweze kufanya kazi. Kwa mfano Windows 7 ya 32bits inahitaji RAM kuanzia 1GB na Processor kuanzia 1GHz wakati Windows 7 ya 64bits inahitaji RAM kuanzia 4GB na Processor kuanzia 2GHz.
 
Chukua mac os x citi cha retina eye kiko poa kabisa
 
Bajeti yako ndio ita
determine aina ya PC utakayoweza nunua.
  1. Ili kupata msaada stahili ungesema range ya bayeti yako ni tsh
    ngapi? ,

  2. Je hiyo Pc unalenga kufanyia kazi gani?
Majibu ya hayo maswali mawili yatatusaidia kuweza kukutajia ni pc ipi
unapaswa kununua na ni kwa tsh ngapi, hata mahala pa kunu nunua utapewa
maelekezo. KARIBU

Bajet yangu n around lak 4-5,Na laptop naihitaj kwa ajil ya Internent(e-books)
 
fWQVu7

LENOVO B590
Intel Pentium CPU B960 @ 2.20GHZ, 2.0GB RAM, Intel HD Graphics
HDD 500GB
Inauzwa 530,000
Wapi? : - Kariakoo, DUKA LINATAZAMA kituo cha mabasi cha Kongo​
Hii lenovo ndio inakufaa kwa hiyo bajeti yako, Pia kwa hiyo bajeti waweza pata Toshiba zenye specification hizo hapo juu.

mwl rct hii lenovo kwa bei hiyo ni brand au used?
 
  • Mpya kabisa. Boksi linachanwa ukiwa unahakikisha.
  • OS waweza kuwaomba wakuwekee au utaweza kwenda kujiwekea wewe mwenyewe.
  • Na iwapo utahitaji hii model hihi hii ya Lenovo B590 kwa bei pungufu, utauziwa tsh 470,000/- ila itakuwa siyo Intel Duo Core.

kaka nimekupata
 
Back
Top Bottom