Msaada: Laptop Imegoma kwenye Internet

Msaada: Laptop Imegoma kwenye Internet

Aleyn

JF-Expert Member
Joined
Nov 12, 2011
Posts
24,268
Reaction score
43,156
Habari za Miangaiko Waheshimiwa. Laptop yangu kila nikijaribu ku_Connect katika Internet inaniletea ujumbe huu 'A
connection to the remote computer
could not be established' ujumbe
huu unakuja hata moderm ikiwa na Bundle, nimejaribu pia kutumia simu lakini bado tatizo lipo pale pale. Natumia Window 7 professional. Mwenye Ufahamu juu ya hili tatizo naomba anisaidie.
 
Kwa kawaida hiyo huonesha umeishiwa salio, jaribu kuhakikisha kama kweli una salio, pili check drivers za network na modems, kama bado uninstall software na uinstall upya, je modem yako imechakachuliwa?, mwisho wapigie isp wako.
 
Back
Top Bottom