Cha kwanza hakikisha kama inaingia kwenye bios. Kikawaida inakuwa f2 otherwise watakwambia press button ipi kuingia setup.Waungwana msaada tafadhali.
Kuna laptop dell latitude/ D830 zile za kizamani imegoma kuwaka,
Mwanzo wa tatizo
Madogo walikua wanangalia movie,ikazima kutokana na charge kuisha maana umeme haukuwepo.
Baada ya umeme kurudi wakachomeka charg kama kawaida,baada ya kutaka kuiwasha ndipo ikawa inashindwa kufika mwisho.
View attachment 1414808
Sent using Jamii Forums mobile app
Betri inakaa sana tu,ila ilishiwa moto na umeme haukuwepo ko ikazima.ko shida inaweza kuwa hivyo hivyohiyo laptop kwanza haikai chaji ni pasi
jambo jingne CMOS battery imekufa kabisa yaan imeishiwa uwezo
hvyo ukitoa kwenye umeme tu inajidefault setting ndo inakuwa inafanya hvyo lkn huwa haichelewi sana inawaka
sasa kwakuwa inakataa kabisa na umesema imezima baada umeme kukatika wkt mnacheck movie na mpk sasa inaishia hapo hapo basi kuna uwezekano HDD imezingua
cha kufanya toa HDD then iwashe hvyohvyo uone utavuka hapo na kukuomba boot au unabonyeza f2 ikupeleke seting uone km itakuja faster au itaendelea hapohapo kuload
man huyo state hapo inaread device zote km ziko okay then ndo inaruhusu booting
sasa fanya hvyo kuangalia shida ni HDD ama ni nini !!
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni Window 7Cha kwanza hakikisha kama inaingia kwenye bios. Kikawaida inakuwa f2 otherwise watakwambia press button ipi kuingia setup.
Kama inakubali bios inamaana ni tatizo tu la kawaida la software jaribu kuingia safe mode ufanye system restore. Hujasema unatumia windows gani.
Kama ni windows 7 basibitakuwa imecorrupt startup file kwq hiyo inawaka na kuzima. Hapo cha kufanya tafuta bootable flash yenye windows kisha fanya startup repair
Asante mkuu,ngoja nijaribuKama ni windows 7 basibitakuwa imecorrupt startup file kwq hiyo inawaka na kuzima. Hapo cha kufanya tafuta bootable flash yenye windows kisha fanya startup repair
Kwa win 7 safe mode bonyeza F8 wakati pc inawaka.
Nmebonyeza f8 na haijarespond chochote,zaid ya kuwaka na kuzima kila ikifika mwishoni mwa ku load,kuwaka na kuzima inarudia rudiaKwa win 7 safe mode bonyeza F8 wakati pc inawaka.
Kwenye bios je ile f2 inakubali?Nmebonyeza f8 na haijarespond chochote,zaid ya kuwaka na kuzima kila ikifika mwishoni mwa ku load,kuwaka na kuzima inarudia rudia
Sent using Jamii Forums mobile app
mtaalamu akitoa hdd itaboot vipi? au nishazeeka sasa.hiyo laptop kwanza haikai chaji ni pasi
jambo jingne CMOS battery imekufa kabisa yaan imeishiwa uwezo
hvyo ukitoa kwenye umeme tu inajidefault setting ndo inakuwa inafanya hvyo lkn huwa haichelewi sana inawaka
sasa kwakuwa inakataa kabisa na umesema imezima baada umeme kukatika wkt mnacheck movie na mpk sasa inaishia hapo hapo basi kuna uwezekano HDD imezingua
cha kufanya toa HDD then iwashe hvyohvyo uone utavuka hapo na kukuomba boot au unabonyeza f2 ikupeleke seting uone km itakuja faster au itaendelea hapohapo kuload
man huyo state hapo inaread device zote km ziko okay then ndo inaruhusu booting
sasa fanya hvyo kuangalia shida ni HDD ama ni nini !!
Sent using Jamii Forums mobile app
Bios hazihitaji hdd kuboot.