Malaika wa Kifo
JF-Expert Member
- Apr 11, 2012
- 4,089
- 4,733
Chief-Mkwawa nimejaribu kuweka link hapo juu. Maana natumia Opera Kwenye Nokia N80
Last edited by a moderator:
Google 'Microsoft Azure'. Pengine mi mwenyewe ndo najichanganya kusema ni laptop za Microsoft kumbe sio. Utakachokiona naomba utufafanulie Chief-Mkwawa
Habari mkuu! naomba ushauri juu ya kununua laptop ambayo ntaitumia kwa masomo,gaming kama gta V,movie na net nafanya masomo ya uhasibu hivo ni aina gani ya laptop itanifaa mkuu kwa bajeti ya 500k-600k. Kuna hii niliiona macbook pro 2 kwa 650k na hp pavillon kwa same amount so apart na hizo nishauri mkuu kwa bajeti ya 500k-600k. Ahsanteh mkuu.kwa matumizi ya jamaa na budget yake nafkiri anadeserve kitu kama hicho, though sina uhakika kama hio laptop ipo ndani ya budget yake
labda used, hakuna laptopya gta v kwa 600,000 mpya.Habari mkuu! naomba ushauri juu ya kununua laptop ambayo ntaitumia kwa masomo,gaming kama gta V,movie na net nafanya masomo ya uhasibu hivo ni aina gani ya laptop itanifaa mkuu kwa bajeti ya 500k-600k. Kuna hii niliiona macbook pro 2 kwa 650k na hp pavillon kwa same amount so apart na hizo nishauri mkuu kwa bajeti ya 500k-600k. Ahsanteh mkuu.
Sawa mkuu. Nishauri basi laptop gani nzuri kwa range hiyo nichukue mkuu?labda used, hakuna laptopya gta v kwa 600,000 mpya.
Na iangalie hii mkuulabda used, hakuna laptopya gta v kwa 600,000 mpya.
jina la processor? maana bila jina ni ngumu kukusaidiaNa iangalie hii mkuu
hapana mkuu haipo sawa, unless una matumizi madogo sana, sababu hio processor ni dhaifu kweliKuna laptop lenovo ideapad 110 processor amd dual core E1 7010 ram 4gb na hd 500gb 525000 je iko poa cheaf mkwawa naomba ushauri hapo
Ahsante nmechukua hp 250hapana mkuu haipo sawa, unless una matumizi madogo sana, sababu hio processor ni dhaifu kweli