Msaada: Laptop gani ni nzuri na ya kisasa?

Jaman naomba mnipe tofauti kati ya hdd na ssd na ipi yenye storage kubwa mfano unakuta 500hdd na 128ssd

ssd zina speed sana na ni bei ghali, hela ya kununulia 128gb ssd inatosha kununua 1tb hdd. computer yenye ssd inaweza kuwaka kwa sekunde 6 tu wakati yenye hdd inaweza chukua zaidi ya dakika 1. ssd pia inasaidia unapofungua apps zinafunguka upesi upesi compare na hdd. zisome zaidi hapa

https://www.jamiiforums.com/tech-ga...5-muongozo-wa-kununua-memory-za-computer.html

kwangu mi combination nzuri uwe na ssd angalau 128gb na tb unazotaka wewe mwenyewe za hdd, cha muhimu operating system na software zikae kwenye ssd wakati media na mafile usiyotumia ndio yakae kwenye hdd
 
Sawa nimekupata tofauti iliyopo ni speed tu ila kwenye storage 500gb hdd ni kubwa kuliko 128gb ssd
 
kwa matumizi ya jamaa na budget yake nafkiri anadeserve kitu kama hicho, though sina uhakika kama hio laptop ipo ndani ya budget yake

iko nje kidogo..mana hii ina 750gb na 128gb ssd
mashine inaboot hata sec 5 nyingi.

ila bado bajet nzur hata pavilion kari anapata.
 
ssd zina speed sana na ni bei ghali, hela ya kununulia 128gb ssd inatosha kununua 1tb hdd. computer yenye ssd inaweza kuwaka kwa sekunde 6 tu wakati yenye hdd inaweza chukua zaidi ya dakika 1. ssd pia inasaidia unapofungua apps zinafunguka upesi upesi compare na hdd. zisome zaidi hapa

https://www.jamiiforums.com/tech-ga...5-muongozo-wa-kununua-memory-za-computer.html

kwangu mi combination nzuri uwe na ssd angalau 128gb na tb unazotaka wewe mwenyewe za hdd, cha muhimu operating system na software zikae kwenye ssd wakati media na mafile usiyotumia ndio yakae kwenye hdd

Microsoft A8 ina ssd ngapi na hdd ngapi? Maana niliikuta kkoo inauzwa 1.2m
 
Weka specs za laptop kali zaidi ulizonazo sababu nataka kununua laptop yenye specs kubwa zaidi ya niliyonayo, iwe ni mpya. Specs ya laptop niliyonayo ni i5, 64bits, 2.6GHz inaboost mpaka 3.2GHz, hard disk ni 1TB, Ram ni 8GB na ni 15.6" Touch Screen

Bei yake ni shilingi ngapi?
 
Laptop nzur kwa kazi yoyote hile ni Macbook pro
 
Kuna pc zenye ssd zaidi ya 128?

single drive kubwa ya ssd ni 16tb, na kuna baadhi ya laptop zina uwezo wa kuingiza drive mbili hadi tatu, theoretically unaweza kuwa na tb hadi 48 kwenye laptop na unlimited tb za ssd kwenye desktop/pc
 
So ukiwa na laptop yenye 1tb kuna haja ya kuwa na hdd kwenye hiyo laptop?
 
hakuna haja ila ukumbuke ssd ni very expensive, hio ya 16tb ni kama milioni 15 ya kibongo, hio ya 1tb huwenda ikawa inakaribia milioni 1 wakati 1tb ya hdd ni kama 70,000 tu. so kama upo tayari kutoa 1m badala ya elfu 70 then unaweza kuwa na ssd.
 
Asante nimekuelewa.
 
Back
Top Bottom