Msaada laptop dell gafla haiwaki shida nini?

kesho kutwa

JF-Expert Member
Joined
Dec 7, 2016
Posts
1,722
Reaction score
1,993
Mara ya mwisho iliisha chaji nimechaji Leo nawasha haiwaki, betri iimejaa.. Nikiweka kwenye chaji inawaka taa ya betri na kuzima ishara ya kuwa haiitaji tena chaji.. Sasa nawasha haiwaki tatizo nini? Na haijawai tokea ivi
 
Ni dell model gani.?

Kwa haraka haraka fanya hivii.
Itoe laptop katika chaji, toa betri ya laptop iweke pembeni, bonyeza button ya kuwasha laptop kwa muda wa takriban kama dakika moja bila kuiachia. Baada ya hapo rejesha betri katika laptop na uiwashe.

Kama haijawaka hapo weka model number ya laptop yako hapa.
 
Ukiwasha inaonesha kuwa inaunguruma? If YES, jaribu kufungua RAM kisha irejeshe tena, huenda ikawa ilishake kidogo.
 
Ni dell model gani.?

Kwa haraka haraka fanya hivii.
Itoe laptop katika chaji, toa betri ya laptop iweke pembeni, bonyeza button ya kuwasha laptop kwa muda wa takriban kama dakika moja bila kuiachia. Baada ya hapo rejesha betri katika laptop na uiwashe.

Kama haijawaka hapo weka model number ya laptop yako hapa.
Haijawaka mkuu na ni dell latitude D 830
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom