Kireka1980 JF-Expert Member Joined Mar 18, 2008 Posts 302 Reaction score 44 Feb 20, 2012 #1 Waungwana naomba msaada wenu, sehemu niliyopo kuna wireless na laptop inaidetect kwa kuandika "wireless available" lakini hayomaandishi hayapo active (yamefifia) hivyo siwezi kuconnect. msaada tafadhali ni dell e6410 uungwana ni vitendo
Waungwana naomba msaada wenu, sehemu niliyopo kuna wireless na laptop inaidetect kwa kuandika "wireless available" lakini hayomaandishi hayapo active (yamefifia) hivyo siwezi kuconnect. msaada tafadhali ni dell e6410 uungwana ni vitendo
S Spear_ JF-Expert Member Joined Dec 29, 2010 Posts 1,848 Reaction score 1,412 Feb 20, 2012 #2 Hiyo wireless huenda ina Security Code so mpk uziweke ndo itakuwa active....
Kireka1980 JF-Expert Member Joined Mar 18, 2008 Posts 302 Reaction score 44 Feb 21, 2012 Thread starter #3 ahsante mkuu, ni kweli ina security code na ninazo shida ni pa kuingia ili niweko code hapako active. za modem peke yake ndio zipo active
ahsante mkuu, ni kweli ina security code na ninazo shida ni pa kuingia ili niweko code hapako active. za modem peke yake ndio zipo active