KAMA MENU HAITATOFAUTIANA NA YA KWANGU,JARIBU NJIA HII...
1.Nenda kwenye MENU tafuta SETTING na click,
katika orodha tafuta ilipoandikwa "Dual Sim Switch" click hapo,
Maneno "1.manual selected by user" na "2.Automatically decided by sim card" yatakuja...sasa wewe piga OK namba 2 na hakiki kidoti kimekaa hapo clik Back uje kwenye MENU tena...
2.Ingia tena SETTING clik hiyo,itakuja orodha...shuka hadi kwenye neno CONNECTIVITY,clik hiyo na itakuja Data Connection Sim, click na utaona maneno SIM 1 na SIM2...sasa hapo piga OK kwenye namba ambayo line yako ya tigo umeiweka na kidoti kiwe hapo then rudi back ili ufungue OPERA UONE KAMA ITAFUNGUA...