josephjul40 JF-Expert Member Joined Jan 16, 2012 Posts 218 Reaction score 40 Jul 20, 2013 #1 Naombeni msaada wana jf hasa watu wa It . Nimenunua printer mpya aina ya Kyocera tk-340 2020D, nimeifanyia installation ikamaliza, sasa kwENYE KU PRINT TEST PAGE pale juu ya printer ikawaka taa ya njano ya attention na kioo kinaonyesha CALL 7
Naombeni msaada wana jf hasa watu wa It . Nimenunua printer mpya aina ya Kyocera tk-340 2020D, nimeifanyia installation ikamaliza, sasa kwENYE KU PRINT TEST PAGE pale juu ya printer ikawaka taa ya njano ya attention na kioo kinaonyesha CALL 7