Poleni na majukumu wadau,
Naombeni msaanda PC yangu ilikuwa na window 7, mwishowe nikapiga chini hiyo windows, nikaweka windows 8.
Nilivyojaribu kuisntall CD ya printer, imegoma. Ikabidi nirudishe ile windows 7 ya zamani, lakini pia imegoma. Nimejaribu kuweka manually, lakini pia imeshindwa kufanya kazi.
Aina ya printer ni HP LASERJET P 1000 AND P 1500 SERIES.
Hivyo naombeni msaada namna ya kutatua hili tatizo.