josephjul40
JF-Expert Member
- Jan 16, 2012
- 218
- 40
Naombeni msaada wana jf hasa watu wa It . Nimenunua printer mpya aina ya Kyocera tk-340 2020D, nimeifanyia installation ikamaliza, sasa kwENYE KU PRINT TEST PAGE pale juu ya printer ikawaka taa ya njano ya attention na kioo kinaonyesha CALL 7