Nomba msaada wa kuset printer ya Canon 2524 imagerunner

enery

JF-Expert Member
Joined
Aug 21, 2015
Posts
368
Reaction score
439
Habari za mchana wanajukwaa.

Tafadhali naomba msaada wa kuset printer aina ya Canon 2545 imagerunner
Nimefanya network tayari, printer na other devices kama computer zinaonana na nikiping inaonekana ila nikiprint test page kutoka computer nyingine inaprint vizuri baada ya muda haiprint any documents anymore pia inakuwa offline. Pia inakuniambia out of paper wakati all trays ziko full of paper

Nishahangaika sana na kuumiza kichwa,

naomba msaada tatizo ni nini haswa?
 
Ngoja waje wenyewe mkuu,mimi nimewahi tu siti ya mbele ili niangalie barabara vizuri.
 
Sawa mkuu, ngoja niendelee kusubiri mana nimekwama na akili ishafika mwisho kwa sasa, imebidi kuja omba msaada hapa
 
Kama printer ni used hiyo haina guarantee. Itakuwa ni kimeo.
Tradittionally kwa printer mpya unaichomeka kwenye computer yako then unaichomeka kwenye umeme kisha unachukua set up CD unaingiza kwenye CD rom na kuinstall instruction za printer kwenye computer yako. From there inaoperate kama kawaida bila shida. Hiyo printer kama sio mpya inaweza ikawa na mechanical problems. Inawezekana 'ulimi wa kulamba karatasi umeisha'...
 
Mkuu hii sio used ni mpya kabisa na imekuwa networked
 
Back
Top Bottom