Msaada kwenye tutas | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msaada kwenye tutas

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by LadySwa, Jun 26, 2009.

 1. L

  LadySwa Member

  #1
  Jun 26, 2009
  Joined: Jan 25, 2009
  Messages: 77
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  Wana jm nina rafiki yangu mtoto wake kamaliza kidato cha sita na matokeo ni hivi "Kiswa.C .Geogr.F.na Hist,D Je? anaweza kupata Chuo kikuu nje ya nchi?wapi ni rahisi na asome kitu gani ambacho kwa bongo atapata ajira .Kama nje haiwezekani je Bongo ?nisisahau ni mtoto wa kike.Natanguliza shukrani kwa idea.
   
 2. Pascal Mayalla

  Pascal Mayalla JF-Expert Member

  #2
  Jun 26, 2009
  Joined: Sep 22, 2008
  Messages: 24,565
  Likes Received: 18,309
  Trophy Points: 280
  Huyo ana DIV III hata UD anaingia akasome ualimu kama anataka ajira, au sociology. vyuo nje kibao hata kama ana Div 0 ndio maana ma Ph.D. kibao bongo.
   
Loading...