Pamoja mkuuSafi
Pamoja sana mkuuPole Mimi Sina laptop idle mkuu
Kabisaa. Wanakufanya uanze upya kazi ambayo ilishaishaa 🥹Aisee pole,wezi watu wabaya sana.
Utapata TU.Kabisaa. Wanakufanya uanze upya kazi ambayo ilishaishaa 🥹
Na imani wapoUtapata TU.
Unataka upewe laptop moja kwa moja au una azima?Wakuu kwema. Na imani mnaendelea poaa. Wahenga walisema kama nitakuwa sijakosea "omba nyavu ukavue samaki mwenyewe kuliko kuomba samaki kila siku"
Naomba msaada wenu kwenye hili kwa yule atakayeguswa. Niweze kupata laptop kwa ajili ya kuendeleza project yangu (ajira binafsi) ya web development
Mimi ni Mtaalamu wa masuala ya computer (IT Technician) ila nimeibiwa kitendea kazi (laptop) na kwa sasa sina uwezo wa wa kununua kingine na napoishi kodi inaisha, napambania kodi kwa sasa nisije kufurumushwa na nilikuwa na project naanza kufanya shared hosting na website design ila ndio imelala(mwisho wa siku hosting ita expire iwe msala zaidi). Kwa ajili ya kupata kipato cha ziada maana kutegemea mshahara tu hali tete kutoboa uongo. Msaada wenu kwa ambaye ana laptop ambayo haitumii, ipo stoo, au ni old kwake anisaidie iwe kama mtaji kwangu niendeleze harakati. Naomba anisaidie nijikwamue nayo. Niweze kujiendeleza na kumudu maisha. Nitashukuru sana. Nipo dar es salaam ikihitajika kuifuata nitaifuata kama ipo dar es salaam. Kama ipo mkoani tutaweka sawa namna ya kuipata. Natangulisha shukrani sana.
Wenu mpambanaji
Hiyo ya kukodi si ndio itatakiwa kulipiwa na hapo ndio tatizo lilipo. Au nakodishiwa kwa muda nikirejea barabarani nirudishe kwa mwenyewe? Kama naazimishwa kwa muda bila malipo pia nitashukuru sana.Unataka upewe laptop moja kwa moja au una azima?
Mie naona bora ungesema unataka kukodi.
All in all I wish you the best
Kwa nini ukodishwe bila malipo wakati unaenda kuifanyia kazi itakayokupa hela???Hiyo ya kukodi si ndio itatakiwa kulipiwa na hapo ndio tatizo lilipo. Au nakodishiwa kwa muda nikirejea barabarani nirudishe kwa mwenyewe? Kama naazimishwa kwa muda bila malipo pia nitashukuru sana.
Natamani iwe hivyo ila kila biashara inayoanza hutegemei faida hapo hapo au itanyooka tu.Kwa nini ukodishwe bila malipo wakati unaenda kuifanyia kazi itakayokupa hela???
Mie nilikua najaribu kukupa trick tu, kuliko kumuomba mtu kompyuta yake ni bora umwambie akukodishe kwa bei rahisi atleast anaweza kukuelewa.
Kukodisha sio lazima ulipe laki kwa siku, kutokana na ma,ingira yako unaweza kumuomba mtu akukodishe labda buku kwa siku, je utashindwa kumlipa mtu buku kwa siku na kazi unafanya.
kuleta uzi kama huu jamii forum ila nalo linaweza kuwa ni tatizo la akili hivi unaamini kabsa kuna mtu atajitokeza kwa kutumia ID's fake hizi akupatie msaada wa laptop broo?? emu kuwa serious mkuu acha kuchekeshaWakuu kwema. Na imani mnaendelea poaa. Wahenga walisema kama nitakuwa sijakosea "omba nyavu ukavue samaki mwenyewe kuliko kuomba samaki kila siku"
Naomba msaada wenu kwenye hili kwa yule atakayeguswa. Niweze kupata laptop kwa ajili ya kuendeleza project yangu (ajira binafsi) ya web development
Mimi ni Mtaalamu wa masuala ya computer (IT Technician) ila nimeibiwa kitendea kazi (laptop) na kwa sasa sina uwezo wa wa kununua kingine na napoishi kodi inaisha, napambania kodi kwa sasa nisije kufurumushwa na nilikuwa na project naanza kufanya shared hosting na website design ila ndio imelala(mwisho wa siku hosting ita expire iwe msala zaidi). Kwa ajili ya kupata kipato cha ziada maana kutegemea mshahara tu hali tete kutoboa uongo. Msaada wenu kwa ambaye ana laptop ambayo haitumii, ipo stoo, au ni old kwake anisaidie iwe kama mtaji kwangu niendeleze harakati. Naomba anisaidie nijikwamue nayo. Niweze kujiendeleza na kumudu maisha. Nitashukuru sana. Nipo dar es salaam ikihitajika kuifuata nitaifuata kama ipo dar es salaam. Kama ipo mkoani tutaweka sawa namna ya kuipata. Natangulisha shukrani sana.
Wenu mpambanaji
Hilo ni jina halisi. Na nina miaka 10 hapa JF. Hata ukitaka tuonane naweza mkuu maana siishi maisha fake mkuu. Naamini wapo wenye moyo wa kusaidia wenginekuleta uzi kama huu jamii forum ila nalo linaweza kuwa ni tatizo la akili hivi unaamini kabsa kuna mtu atajitokeza kwa kutumia ID's fake hizi akupatie msaada wa laptop broo?? emu kuwa serious mkuu acha kuchekesha
Ila wale wa Mo29 tuliwasapoti😂😂😂Aisee pole,wezi watu wabaya sana.
Nisapoti mkuu 😊Ila wale wa Mo29 tuliwasapoti😂😂😂
Shukrani mkuu