Ha haaa tunakuandalia Loshoro. Karibu sanaAsante,inabidi nifanye juu chini na mimi nichakate pisi ya Chuga![]()
Nashukuru mkuu,sema mimi hua sio mtu wa mbio sana, kamwe hua sivuki 120 hata bara bara iwe imenyooka vipi.Mkuu nakutakia safari njema. Ikikupendeza basi usimame hapa Korogwe tupige story mbili tatu na lunch wakati oil inashuka then uendelee na safari.
Mambo mengine ya msingi yameshaelezwa na mchangiaji wa kwanza wa uzi huu ila nikupe angalizo moja tu kwamba, MOJA YA SABABU KUBWA YA AJALI ZA BARABARANI NI UGENI WA BARABARA HUSIKA NA CHANGAMOTO YA MIUNDOMBINU YA BARABARA ZETU. Kama mgeni usikimbie sana kwasababu unaweza ukakuta kuna sehemu kuna kona au mteremko mkali mbele, halafu hakuna kibao kinacho-indicate ili kumsaidia dereva. Ukiwa mzoefu wa hiyo barabara hili haliwezi kuwa tatizo, ila kinyume chake ni mzinga!
Safari ni hatua. Kila la kheri.
Hiyo namba 7 mkuu well copied and affirmative!Naunga mkono. Pita hiyo ya B'Moyo.
Muda mzuri ondoka Asubuhi sana 5am utazitangulia sana Bus wale jamaa wasumbufu.
Au ondoka saa 1 mabasi yameshaenda.
Kuhusu gari:
1. Cheki oil level na ubora. Kama oil imeshapita muda Bora ufanye service.
2. Tyre pressure angalia mbele ziwe 45 nyuma 35 psi poa sana.
3. Coolant na brake fluid iwe level.
4. USIWEKE IKEDA.
5. Weka wese kama lita 45 hadi 50 huku (kama laki 1 na nusu hivi) maana unavyozidi kwenda mbali na Dar wese linapanda bei.
6. Fuata ushauri wa mdau hapo juu ukiwa na company esp yoa mdada utainjoy zaid.
7. Usiendeshe uwahi kufika. Endesha ufike salama. Pumzika for breakfast (30mnts), lunch, na maji so ukipumzika mara , 3 poa sana.
Ni chakula cha kimasai.Ndo nini iyo rosholo?japo inaonekana ni tamu sana