Msaada kwenye tuta, nimeitwa interview

habarini za muda huu wadau, mm ni graduate katika fani ya HR, kuna kazi niliomba, nimepata email ya kuitwa kwenye usaili, post ya field educator supervisor, kwenye NGO fulani, mwenye kujua maswali yanayo ulizwa au mwongozo wa interview anajuze (written + oral)
HR ni fani au? Human Resource ....
 
habarini za muda huu wadau, mm ni graduate katika fani ya HR, kuna kazi niliomba, nimepata email ya kuitwa kwenye usaili, post ya field educator supervisor, kwenye NGO fulani, mwenye kujua maswali yanayo ulizwa au mwongozo wa interview anajuze (written + oral)
Mkuu kama kweli wewe ni Graduate wa HR ulitakiwa uwe mtaalamu wa lnterview...hiyo ni part of your course!!Bandiko lako linanitia kizunguzungu.....sikuelewi
 
ndo ukae kimnya kama huelewi si lazima kujib kila kitu humu ndani
 
hahaha nimemuuliza si ndo kazi aliyosomea kanijibu kmm kanywa balimi na viroba !!! hakuna hr humu
Hahahaaa!
IMG_20170105_160416.jpg
 
Back
Top Bottom