Typing error... yan nilikua nauliza ukisha unlock ukawek lain nyingin kwa mfano voda je? Mtandao unasoma 4G au unachange na kua 2G. Kam ilivyo kweny lain 2

Tafadhali wadau naombeni msaada wenu wa haraka. Nimenunua smart kitochi 4G ofisi z tigo ila baada ya kuweka line imeniambia niingize NCK CODE kwenye SIM 1na SIM 2, nauliza code hizo ni zipi?
Hicho mbona bila hata kuflash line zote zinasoma 4G ila line 1 lazima ikae voda.
Kama hutaki kabisa kutumia Voda mcheck Anonyshu akupe code but not free

Laini zinasumbua sana kusoma kwa hizo hasa pale utataka uweke size ile ndogo isio yake,Chukua vibati vya line kisha vesha na uweke hakikisha line ya tigo iwe ndio namba moja( kuna siku ) nilikosea nikabugi hio error kama yako ilinitesa baadae nikafix uzur wake haina limit ya ku attempt