msaada kwenye pd proxy

msaada kwenye pd proxy

kichwanazi

Member
Joined
Apr 11, 2013
Posts
89
Reaction score
9
naombeni mnisaidie ni server gani zenye speed nzuri kwenye pd-proxy..?
 
Inategemea na nn unacho surf. Kama una stream online, Server ya Florida na Chicago ndio naona kwangu ziko Makini. Kwani naweza kustream Movie mwanzo hadi Mwisho bila kukatika.
 
cha muhimu wewe kama unajali speed kuliko nchi ambayo server inatokea jiepushe na majina maarufu. watu wengi wanalenga miji na nchi kubwa kama ny marekani au la, na uingereza.

we ingia server za uholanzi, lithuania, urusi speed inakua kubwa sababu no one care
 
cha muhimu wewe kama unajali speed kuliko nchi ambayo server inatokea jiepushe na majina maarufu. watu wengi wanalenga miji na nchi kubwa kama ny marekani au la, na uingereza.

we ingia server za uholanzi, lithuania, urusi speed inakua kubwa sababu no one care
umenena mkuu
 
cha muhimu wewe kama unajali speed kuliko nchi ambayo server inatokea jiepushe na majina maarufu. Watu wengi wanalenga miji na nchi kubwa kama ny marekani au la, na uingereza.

We ingia server za uholanzi, lithuania, urusi speed inakua kubwa sababu no one care

poa mkuu ntalifanyia kazi
 
Issue ni servers zao may be zimekuwa Overloaded
Pia watumiaji wote wa Bongo mmejikita GARI moja na TUNDU moja nahisi hilo tundu nalo linaelemewa(correct me if am wrong)
Try other VPN NOT Necessary kutumia PD Proxy
Check my Footer
 
naombeni mnisaidie ni server gani zenye speed nzuri kwenye pd-proxy..?

Generally, the performance of PD-Proxy will depend on the following factors:


  1. Latency issues
  2. User Computer CPU speed and hardware
  3. User internet connection speed

    Ensure that your computer CPU speed is reasonable.
    As encryption depends to a large extent on the computer CPU speed, using a reasonable CPU speed will help boost your PD-Proxy connection

    Ensure that you are connected to the closest PD-Proxy server location of your choice. The nearer you are to the PD-Proxy server, the better the speed. You can significantly improve your PD-Proxy speed by connecting to the PD-Proxy server which is nearer to you. ie in the same country or close to your country. Sometimes it may be necessary to switch to another server location if you experience significant speed loss which can result from server overload or network issues.
 
Pm kwa munjy1 ndie mtaalam wa hayo mambo.
nadhani mkuu kishapata majibu na yote yapo sahihi, ila ningemchakia tu hata inapokuwa 3g haipo stable basi speed inashuka sana na pia location ndio kigezo kikubwa kwa mfano wewe upo dar unatumia server ya torrent1 ipo full speed basi usidhani na wa mwanza atapata speed hiyohiyo kwa server ya torrent1
 
Back
Top Bottom