msaada kwenye pd proxy

msaada kwenye pd proxy

nadhani mkuu kishapata majibu na yote yapo sahihi, ila ningemchakia tu hata inapokuwa 3g haipo stable basi speed inashuka sana na pia location ndio kigezo kikubwa kwa mfano wewe upo dar unatumia server ya torrent1 ipo full speed basi usidhani na wa mwanza atapata speed hiyohiyo kwa server ya torrent1

Tunakushukuru sana kwa kuitikia wito, maana umesaidia kutuongezea ujuzi.
 
Back
Top Bottom