Msaada kwenye nokia asha 200

Msaada kwenye nokia asha 200

ngosha2011

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2011
Posts
681
Reaction score
87
Nina nokia asha 200,kila nikifungua internet inaniambia 'creating secure connection' ina load kidogo inaleta ujumbe tena "error establishing secure connection.check coverage security and date setting on the phone (005),mwenye kujua tatizo anisaidie au ndio nika iflash?
 
Back
Top Bottom