Msaada tafadhali: laptop doesn't boot past the BIOS screen

IT Guru

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2011
Posts
635
Reaction score
113
laptop ni LG.when I power it on inaboot mpaka kwenye BIOS screen it shows up zile option press f2 to run setup na press f11 for BBS POPUP after that the whole computer is kama vile ipo locked up.inafreeze hapo hapo kwenye hiyo screen haiendelei tena. No blinking lights, no beeps.when I press f2for setup inaandika tu Entering SETUP then inatulia hivyo hivyo haiendelei kitu. It just freezes. But nikipress caps lock, num lock zinafanya kazi na taa zake zinawaka. Sijatoa wala kubadilisha any device(I mean RAM, hard disk, etc). Laptop haijaanguka wala kupata mtikisiko wowote. OS iliyopo kwa sasa ni windows 7 ultimate 32 bits. I have pretty good knowledge about computer but kwa hapa ilipofikia siwez kufanya kitu,hata kuweka upya OS nashindwa maana imefreeze kwenye bios screen. Nimejaribu kuchomoa battery ya laptop kwa muda but kurudisha tatizo bado lipo. Nimeiacha kwenye BIOS screen siku nzima hoping itaboot but imeganda tu hapa. If you need any more information out of me,let me know. Msaada kwenye tuta wakuu.
 
Ukiingia BIOS SetUp hdd unaiona? kuna uwezekano mkubwa kuwa hdd sio nzima, itoe kwenye Laptop then washa computer...ikiwaka na kukuambia haioni hdd utakuwa umepata kitu.....kama itafreeze hivyo hivyo ni issue ya Processor!! ila memory pia zinaweza kusababisha tatizo hilo.....
 
Umemaliza kwa kuwa ana knowledge na ni "blue hacker" anatakiwa acheki BIOS yake ina detetc device gani abla ya kuwaka . Kwa anavyosem anaonekana HDD ni kaputi.
 
Teh teh teh kaka umenimaliza...sikuwa nimeona kuwa mshikaji ni "hacker".... wamekuhack mzee...teh teh teh.. mla vya wenzake.....(jokin)
 
hard disk inakuwa detected na zile process zote za kwenye BIOS screen zinamaliza. Halafu inafreeze, haiendelei tena. Mkuu inaweza Processor imefanyaje? imekufa au?
 
Umemaliza kwa kuwa ana knowledge na ni "blue hacker" anatakiwa acheki BIOS yake ina detetc device gani abla ya kuwaka . Kwa anavyosem anaonekana HDD ni kaputi.

Teh teh teh kaka umenimaliza...sikuwa nimeona kuwa mshikaji ni "hacker".... wamekuhack mzee...teh teh teh.. mla vya wenzake.....(jokin)

hehe wakuu jina tu lisiwatishe. shukrani kwa ushirikiano wenu
 
blue hacker hiyo ni Brand gani na model gani ya mashine. Sihani processor ya mashine zinaweza kufa kirahisi.

laptop ni LG mkuu.ya zamani kidogo
 
laptop ni LG mkuu.ya zamani kidogo
Kama HDD iko njema basi inawezekana CMOS battery ndio imekufa au inapoteza kumbukumbu. So jaribu kucheza na seeting za BIOS na kuona time inayotambua

otheriwse kusema LG haisaidi sana mana LG zipo nyingi taja model tutandae google
 
Ukiingia BIOS SetUp hdd unaiona? kuna uwezekano mkubwa kuwa hdd sio nzima, itoe kwenye Laptop then washa computer...ikiwaka na kukuambia haioni hdd utakuwa umepata kitu.....kama itafreeze hivyo hivyo ni issue ya Processor!! ila memory pia zinaweza kusababisha tatizo hilo.....

amekwambia hawez even kuingi kwenye BIOS kama tatizo lingekuwa ni hard disk angeweza kuingia kwenye BIOS
 
tatizo haliwezi kuwa CMOS battery cu z hata kama CMOS battery ingekufa bado angeweza kuingia kwenye BIOS. Tatizo hapo linaweza likawa kwenye processor au motherboard

Kama HDD iko njema basi inawezekana CMOS battery ndio imekufa au inapoteza kumbukumbu. So jaribu kucheza na seeting za BIOS na kuona time inayotambua

otheriwse kusema LG haisaidi sana mana LG zipo nyingi taja model tutandae google
 
tatizo haliwezi kuwa CMOS battery cu z hata kama CMOS battery ingekufa bado angeweza kuingia kwenye BIOS. Tatizo hapo linaweza likawa kwenye processor au motherboard

ok mkuu kwa hiyo ukitaka kuingia kwenye BIOS set up ya LG unafanyaje? Na tatizo likiwa kweye poceccsor angesikia beeps hata kabla ya BIOS
 
Inategemea na tatizo lenyewe na aina ya computer. some of them unaweza usisikie hizo beeps
 
wakuu nimejaribu ushauri wenu wote but tatizo bado likawepo. Nikatoa hard disk na kuweka hard disk nyingine laptop ikawa.naona hard disk ilikuwa imekufa,imenibidi nibadilishe tu hard disk. Ahsanteni sana kwa ushirikiano wenu.pamoja sana wakuu
 
Back
Top Bottom