Aliyekusajilia hayupo how? Aweke hiyo namba hewani..Hbr za majukumu ndugu zangu nahitaji kuweka apple id mpya maana iliyomo nimesahau password na password wanataka wanitumie kwny namba ya cm ambayo siitumii muda Sasa na aliyenisajilia hayupo Kwa sasa Kwa mwenye ujuz na hiki kitu anisaidie tafadhali
iliyomo nimesahau
ambayo siitumii muda
hmmmaliyenisajilia hayupo
🤣🤣🤣 hizo mmmmhmmm
iko pembeni hapa nataka nifungue siku sasa hivibabe care
Hapo umeyakanyaga,tafuta hiyo namba au tafuta mtu umlipe afanye ku bypass icloud
Sent from my M2101K7AG using JamiiForums mobile app
Saizi mambo yashakua rahis mkuu sio kama zamani tena.Hahahahhaha sio rahisi kama tunavyochukulia
Samahan mkuu ulishajaribu ikakubaliSaizi mambo yashakua rahis mkuu sio kama zamani tena.
Sent from my M2101K7AG using JamiiForums mobile app
Bro lazima ni solution ya mda mfupi yaku bypass ila total unlock bado ni mziki mneneSaizi mambo yashakua rahis mkuu sio kama zamani tena.
Sent from my M2101K7AG using JamiiForums mobile app
As long as anataka atumie kwa sasa haina shidaBro lazima ni solution ya mda mfupi yaku bypass ila total unlock bado ni mziki mnene
Yes,tafuta fundi tuSamahan mkuu ulishajaribu ikakubali
Kwa ushauri mwambie tu ni ngumu hiyo simu haiwezi kuwa yake Brother am 100% sure. Kuna mambo kadhaa yana onyesha. So ukimwambia a bypass uta mkamatisha kwa wazee tu bora iwe offline awe safe.
Jambo usilo lijuwa ni kama usiku wa giza bora abaki hajui kuliko ajuwe ata lala pale Oysterbay 😂😂😂😂😂
Jambo usilo lijuwa ni kama usiku wa giza bora abaki hajui kuliko ajuwe ata lala pale Oysterbay [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ushasema itakula kwake sasa wewe kutaka kujua ni aina gani ili iweje ebu lala upalilie penzi ukoInakula kwako hiyo
Ni 11 plain, pro or pro max?