Naomba ndugu zangu, yeyote mwenye kuweza kuniandalia Memorandum of Article bila malipo anisaidie ili niweze kufungua Kampuni isiyo ya kibiashara za faida (non- profit making Company).
Nahitaji kutoa huduma kwa wananchi lakini sina pesa ya kuandaa hii kitu.
Nahitaji kutoa huduma kwa wananchi lakini sina pesa ya kuandaa hii kitu.