apo simu tayar ina vitu ving ambavyo vina run ndo mana sometimes inactaki iv jarbu ku restoration ya apps zote kwa ku restore factory then uta download tena
Asante Sana mkuu ila wakati namsubiri bwana wa majeshi nifanyeje?
Habari zenu wakuu nina galaxy s3 original shida ni kwamba imeanza tabia ya ku-stac mpaka nitoe battery niweke upya ndipo inakaa sawa. Kinacho nikera zaidi ni kwamba wakati imestac ukinipigia kwako inaita ila kwangu kimya kabisa na muda wa warranty umeshapita nifanyeje ikae sawa maana kununua simu nyingine januari hii ya ada za watoto mhhhh. Naomba msaada tafadhali.
Asante. Mkuu ngoja nijaribu ila nikuulize recovery mode inapatikana kwenye setting au
okey zima simu yako kisha anza kubonyeza volume up button kisha home button kisha power button usiachie mpaka simu yako iwake kwenye menyu flani hiv ambayo ndo recovery .ikija hyo menyu achia hzo button.
sasa tumia volume down kushuka hadi walipo andika wipe user data/factory reset kisha tumia power button ku select hapo ku wipe kisha uta select yes..simu itajiwipe kisha shuka chini hadi kweny wipe cache pia tumia power button ku select hapo .then select yes simu ita wipe cache..kisha select reboot now.simu yko itawaka..Natumain itakua ime solve tatizo lako..ikiwa bado lete feedback nikuelekeze ku flash .

Asante mkuu nitafanya hivyo baadae nitakupa feedback.

okey
Ingia recovery mod yani zima cm ikiwa imezimika bonyeza volume down na power button kwa mpigo mpaka ilete maandishi kisha nenda wipe cache hlf nenda wipe data factory reset hlf reboot kisha itakua mia. Ukifanikiwa usisahau feedback