Msaada kwenye excel!

Msaada kwenye excel!

Elai

Senior Member
Joined
May 26, 2011
Posts
156
Reaction score
11
wataalamu wa excel msaada. Mimi ni mwalimu. Nina orodha ya wanafunzi wangu na alama walizopata katika mtihani. Lengo ni kubadilisha alama katika asilimia kwenda kwenye mfumo wa daraja A, B, C , D OR F kwa kila somo. Changamoto inakuja pale ninapo kopi formula ya nested if function. Kwenye masomo ya option ninapata error kwa sababu hayana alama (yapo wazi). Nitatatuaje hili? Ahsante.
 
Pole sana Mkuu.
Ebu ngoja wakuje nami nijifunze hapa
 
na mimi nahitaji kuondoa penalty kwenye template yangu
yaan grade ziwe calculated bila kumpiga mtu penalty but masomo saba ya kwanza ndo yawe calculated first......
 
Changamoto aliyonayo hata mimi ilinikuta. Tusubiri wajuzi watatusaidia.
 
wataalamu wa excel msaada. Mimi ni mwalimu. Nina orodha ya wanafunzi wangu na alama walizopata katika mtihani. Lengo ni kubadilisha alama katika asilimia kwenda kwenye mfumo wa daraja A, B, C , D OR F kwa kila somo. Changamoto inakuja pale ninapo kopi formula ya nested if function. Kwenye masomo ya option ninapata error kwa sababu hayana alama (yapo wazi). Nitatatuaje hili? Ahsante.
Excel kupanga matokeo, divisions na points
 
Nina examples sheet nili design kwa hicho kitu ulichotaka naweza kutumia ili uendelee na mishe yako
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom