Msaada kwenye connectify

Msaada kwenye connectify

DEVUQUARTER-DEVUKOTA

JF-Expert Member
Joined
Jun 20, 2012
Posts
352
Reaction score
117
Wakuu naomba mnisaidie kusolve hili tatizo linalonisumbua mara kwa mara kwenye connectify dispatch maana nimejaribu njia zote bado ngoma nzito.

Tatizo lenyewe nikwamba ukishainstall hiyo program na kuanza kutumia inapiga mzigo fresh ila baada ya muda f'lani inanigomea kuanza coz inakuwa inaload tu kama inavyoonekana pichani.

Nahii ni kwa win 8 yaani mpaka niirefresh nakuanza na moja ndiyo inakubali ila tatizo hujirudia baada ya mda mfupi
CONECTIFY.jpg

442183-msaada-kwenye-connectify.html
 
Naona wadau wamekususa so nenda ka-refresh tu mkubwa
 
Back
Top Bottom