halooooo.
Hope mko ok wote. Jamani mwenzangu amenipiga stop ya kunido eti anasema kwa 7bu ya kwaresma, kila ninapomuhitaji hataki kabisaaa, hvi inawezekana kweli hyo ikawa 7bu au analake jambo
hebu watu wasikutishe bana....kila mtu anauliza kama mmeoana......ndoa kitu gani bana wakati wa kiu.....we tii kiu yako....kiu haiigwi.....kama umekosa coca si unakunywa hata fanta kwa leo tuu....aaaghhhh
Ni vema na haki kustop kama hamjaoana. ilamkama mko katika ndoa basi anakuvutia kasi wewe kua mpole tu. Jitahidi usiwe na kiu mana unaweza kunywa acid badala ya maji!!
hebu watu wasikutishe bana....kila mtu anauliza kama mmeoana......ndoa kitu gani bana wakati wa kiu.....we tii kiu yako....kiu haiigwi.....kama umekosa coca si unakunywa hata fanta kwa leo tuu....aaaghhhh
wewe heshimu mwenzio anayokuambia!! inawezekana ni moja ya taratibu zake za kumwabudu Mungu, kumbuka anafunga na kuomba kwa wakati huu, kwani kuvumilia kwa siku 40 unaona shida gani??
ww ulikuwa humpendi mwenzio, nyie ndio wote mtu akiumia ama akipata ajali akishidwa ku du, mnamkimbia siku hiyo hiyo