msaada kwenye blackberry

Dio

JF-Expert Member
Feb 8, 2011
1,274
158
Wakuu habari zenu
Natumaini wote mmesherekea siku kuu kwa amani na upendo,
Wadau nina ombi kuhusu blackberry yangu 8520 inatatizo la kuplay video kwenye youtube hasa kwenye line ya tigo na airtel ila kwenye voda inakubali
Ukijaribu na hizo line za tigo na airtel inaniandikia hivi“content not available
Server is blocked or unresponsive“
Sasa wakuu nashindwa kuelewa tatizo ni nini?
 
Wakuu habari zenu
Natumaini wote mmesherekea siku kuu kwa amani na upendo,
Wadau nina ombi kuhusu blackberry yangu 8520 inatatizo la kuplay video kwenye youtube hasa kwenye line ya tigo na airtel ila kwenye voda inakubali
Ukijaribu na hizo line za tigo na airtel inaniandikia hivi"content not available
Server is blocked or unresponsive"
Sasa wakuu nashindwa kuelewa tatizo ni nini?
Mkuu kwa line zote hizo unakuwa umejiunga na vifurushi vya BB?
 
Mkuu kwa line zote hizo unakuwa umejiunga na vifurushi vya BB?

Nakuwa nimejiunga na vifurushi vya kawaida tuu na muda mwingine naweka tu salio alafu natumia hivyo hivyo ila kwenye kuplay video kasheshe mkuu.
 
Nakuwa nimejiunga na vifurushi vya kawaida tuu na muda mwingine naweka tu salio alafu natumia hivyo hivyo ila kwenye kuplay video kasheshe mkuu.

Mkuu kwa kawaida ili uweze kuaccess net na kutumia applications kwenye BB yako unatakiwa ujiunge na vifurushi maalum vya Blackberry vinaitwa BIS au BES
Bundle za kawaida haziwezi kukufanya utumie net kwenye BB yako
Mfano kama upo Voda unabofya *149*01# kisha unachagua 7 ambayo ni interne & BB, Kisha unachagua 3 ambayo ni BlackBerry hapo utaweza kuchagua vifurushi vya bb na utakuwa connected kuaccess net kwa bb yako
Je laini zote huwa unajiunga hivi? au unatumia cheka ya kawaida?
 
Natumia cheka internet,kuhusu net natumia fresh na hata hizo line za kawaida tatizo ni kwenye youtube haikubali ku play kwa hizo line ya tigo na airtel lakini voda mwendo mdundo
 
Natumia cheka internet,kuhusu net natumia fresh na hata hizo line za kawaida tatizo ni kwenye youtube haikubali ku play kwa hizo line ya tigo na airtel lakini voda mwendo mdundo

Mkuu labda nimepitwa na wakati, inamaana unaweza kujiunga na cheka, jirushe, yatosha na kisha ukaweza kutumia apps zote kwenye BB yako ku access net? na namaanisha browser ya simu,Facebook, bb messenger nk?.......Thats impossible
 
Inakuwa hivi mkuu,BB 8520 inatumia BIS au BES tu kwa native browser inayokuwezesha kupata huduma ya Youtube,hata hivyo si vifurushi vyote vinavyoweza kukupa huduma ya youtube,mfano ukitumia airtel ambayo ndiyo nzuri zaidi kwa huduma za bb speed yake ni nzuri nk,ila huwezi kutumia youtube kwa kifurushi cha Genge 1,voda ipo slow sana kwa Bb,na ukiweka bundle kubwa kidogo unapata youtube yenye Buffering kibao,huwezi ku enjoy youtube,ila ukiweka bb ya mwezi 30000 uta enjoy mkuu,ila kwa huduma bora zaidi nakushauri utumie huduma ya Absolute 30 ambayo gharama yake ni kama 35000 kwa mwezi,Bb ni sawa na nyumba ndogo mkuu.
 
Mkuu labda nimepitwa na wakati, inamaana unaweza kujiunga na cheka, jirushe, yatosha na kisha ukaweza kutumia apps zote kwenye BB yako ku access net? na namaanisha browser ya simu,Facebook, bb messenger nk?.......Thats impossible

Kwa Bb yenye 3g unaweza kuperuzi kwa Operamini bila kulazimika kuunga Bb bundle,ila huwezi kupata vitu vingi kama Blackberry App's ambazo ndizo zenye thamani yoote ya bb,bila hiyo ni bora tu utumie mchina.
 
Back
Top Bottom