Msaada kwenye betting

Msaada kwenye betting

Kaputupu

JF-Expert Member
Joined
Feb 1, 2014
Posts
1,486
Reaction score
1,179
Niaje wana jf..
mm ni mteja mzuri sana wa mhindi kwenye mambo ya bettin, ila since last week naona mambo hayaendi kabisaa yaaani,, nachana mikeka tuuu... hebu leo tusaidiane kidogo, wataalamu wa mambo haya ya betting,, leo umebett vipi.??
 
tafuta turubai ndio kiboko kamwe huto chana
 
Back
Top Bottom