Msaada:kwa yeyote mwenye uelewa na mouse ya laptop

Olsea

JF-Expert Member
Joined
Sep 11, 2012
Posts
473
Reaction score
297
Habari zenu wakuu,nilikua ninaomba msaada kwa yeyote yule anayefahamu hili tatizo,ni kwamba mouse ya laptop yangu sensitivity yake ipo chini sana,yaani unaweza ukachezesha kidole juu yake lakini pointer ya kwenye screen haisogei kabisa lakini kitu nilichogundua wakati wa kuboot kama ninaingiza windows nikifika sehemu ambayo natakiwa kutumia mouse yaani inafanya kazi kama kawaida ila ukishakamilisha process ya kuinstall windows ukija kwenye matumizi ya kawaida ndo hilo tatizo linakuja sasa sijui kwa nini,nitashukuru sana kwa yeyote yule atakayenipa msaada hata wa kimawazo,asanteni sana
 
Umejaribu mouse nyingine? Tatizo linaweza likawa ni la ports... Kama ports ziko fresh nenda kwenye cotrol panel devices alafu chagua mouse then cheki kama device inaokena iko fresh kama itakuwa mbovu itakuwa na ki tiangle cha njano kiclick kucheki kama tatizo ni hardware au software kama ni hardware nunua mouse nyingine kama ni software download drivers za mouse connectivity itafix tatiz
o

Sent from my BlackBerry 9810 using JamiiForums
 
Asante mkuu,ngoja nifanye kama ulivyonielekeza
 
Habari zenu wakuu,nilikua ninaomba msaada kwa yeyote yule anayefahamu hili tatizo,ni kwamba mouse ya laptop yangu sensitivity yake ipo chini sana,yaani unaweza ukachezesha kidole juu yake lakini pointer ya kwenye screen haisogei kabisa lakini kitu nilichogundua wakati wa kuboot kama ninaingiza windows nikifika sehemu ambayo natakiwa kutumia mouse yaani inafanya kazi kama kawaida ila ukishakamilisha process ya kuinstall windows ukija kwenye matumizi ya kawaida ndo hilo tatizo linakuja sasa sijui kwa nini,nitashukuru sana kwa yeyote yule atakayenipa msaada hata wa kimawazo,asanteni sana

mkuu sio kwamba ume lock touchpad i.e fn+f5 for my toshiba

japo kwa nn uki-install window inakuwa pole afu inazingua?lkn jaribu hiyo f(x)
 
Back
Top Bottom