Hivi kuna tofauti gani kati ya psp na ps vita?50k, 80k, 110k deals in dar watu watatu walikuwa wanauza karibuni.
Ingia facebook tafuta hilo group
Ps vita ni kubwa ya psp, yenyewe ina uwezo wa kurun vitu vyote vya psp plus games za vita.Hivi kuna tofauti gani kati ya psp na ps vita?
Unaweza kuunga ps vita na tv?Ps vita ni kubwa ya psp, yenyewe ina uwezo wa kurun vitu vyote vya psp plus games za vita.
vita ina nguvu sana upande wa hardware compare na psp na pia ina kioo kizuri hivyo hata kama unacheza games za psp zinapendeza sana kwenye vita. Pia kioo chake ni touch.
Psp mwenzake alikuwa ni ps2 na kuna ports za ps2 kwenye psp wakati vita mwenzake ni ps3 na kuna ports za ps3 kwenye vita.
Ukitoa Nintendo Switch, vita Ndio Handheld ya kununua.
Ndio, sema kuna modding za hapa na pale unatakiwa uzifanye (ukiwa na vita itabidi uihack vile vile). Njia rahisi ni kuconnect vita kwenda computer kwenda tv, njia nyengine ni kutumia adapter/docks.Unaweza kuunga ps vita na tv?
Ukiwa na 250k unaipata haraka, ukisubiria deal za hapa na pale hadi 150k unaipata. Zote used,Ps vita ni bei gani
inakaa na chaji mda gani?Ukiwa na 250k unaipata haraka, ukisubiria deal za hapa na pale hadi 150k unaipata. Zote used,
Inategemea na unachofanya, around masaa 4 kama unacheza heavy game, masaa 6 game kawaida.inakaa na chaji mda gani?