msaada kwa yeyote mwenye psp budget (100,000)

Play station portable
 
Attachments

  • 2185917_IMG_2551.jpg
    2185917_IMG_2551.jpg
    18.9 KB · Views: 4
  • 2185918_IMG_2552.jpg
    2185918_IMG_2552.jpg
    6.9 KB · Views: 4
50k, 80k, 110k deals in dar watu watatu walikuwa wanauza karibuni.

Ingia facebook tafuta hilo group
 
Hivi kuna tofauti gani kati ya psp na ps vita?
Ps vita ni kubwa ya psp, yenyewe ina uwezo wa kurun vitu vyote vya psp plus games za vita.

vita ina nguvu sana upande wa hardware compare na psp na pia ina kioo kizuri hivyo hata kama unacheza games za psp zinapendeza sana kwenye vita. Pia kioo chake ni touch.

Psp mwenzake alikuwa ni ps2 na kuna ports za ps2 kwenye psp wakati vita mwenzake ni ps3 na kuna ports za ps3 kwenye vita.

Ukitoa Nintendo Switch, vita Ndio Handheld ya kununua.
 
Unaweza kuunga ps vita na tv?
 
Unaweza kuunga ps vita na tv?
Ndio, sema kuna modding za hapa na pale unatakiwa uzifanye (ukiwa na vita itabidi uihack vile vile). Njia rahisi ni kuconnect vita kwenda computer kwenda tv, njia nyengine ni kutumia adapter/docks.

hata games za pc unaweza stream kwenye vita. Unawasha desktop ukumbini unakaa chumbani juu ya kitanda na Vita unacheza mpira. Uwe tu na Nvidia gtx/rtx yoyote kunzia 650 (gt hazifai)

Pia ipo vita TV ambayo ni sawa na ps vita sema yenyewe ni ya tv. Inakaa kama tv box ama kadesktop kadogo.

PS-Vita-TV-1024x768.jpg
 
inakaa na chaji mda gani?
Inategemea na unachofanya, around masaa 4 kama unacheza heavy game, masaa 6 game kawaida.

Uzuri wa handheld ina standby kubwa sana, mfano unacheza game then umechoka unabonyeza tu power key inaingia sleep mode, uakakaa siku 3 ama 4 unataka kuendelea game lako ukibonyeza power key inakua pale pale ulipoacha, standby inakaa zaidi ya wiki.
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom