Msaada: kwa yeyote mwenye master card au mwenye akaunti ya google play console anayeuza

Mboju

Member
May 4, 2021
41
79
Habari za wakati huu wadau, nadhani mtakua poa mkiendelea na majukumu ya kulijenga taifa.

Kama kicha cha mada kinavyosema nahitaji kununua akaunti ya play store console ila tatizo ni master card sina nimejaribu kutumia zile za vodacom but imegoma wanasema hawahitaji prepaid card hivyo naomba kama kuna mtu anayo hiyo akaunti aje tufanye biashara.

Kuna jamaa humu humu jamii forum tuliwahi kufanya biashara hiyo nimemsahau jina maana ni kipindi kirefu jamaa alikuwa muaminifu sana kama bado yumo tafadhali ni pm tuone kama unaweza nisaidia tena au kama kuna mwingine mwenye nayo nalo ni jambo jema.
 
Fungua account ya equity Bank unapewa visa card siku hiyo hiyo.
 
Fungua account ya equity Bank unapewa visa card siku hiyo hiyo.
Documents gan wanazihitaji ili kufungua account? Mana hz local banks ziko kijima sana. Yaan naenda bank nawaambia nahtaji card yangu iwezeshwe kufanya online purchase,,wao wanatumbua macho tuuh
.

Japo equity wana Branch chache sana huku maeneo ya mbali na City center
 
Documents gan wanazihitaji ili kufungua account? Mana hz local banks ziko kijima sana. Yaan naenda bank nawaambia nahtaji card yangu iwezeshwe kufanya online purchase,,wao wanatumbua macho tuuh.

Japo equity wana Branch chache sana huku maeneo ya mbali na City center
Nenda na namba ya NIDA vingine hivyo watakueleza wao huko mbele ya safari.
 
  • Thanks
Reactions: _ID
Back
Top Bottom