msaada,kwa wenyeji wa mkoa wa morogoro .

msaada,kwa wenyeji wa mkoa wa morogoro .

Joel cole

Member
Joined
Jan 1, 2014
Posts
42
Reaction score
5
habari wanajamvi?.
naomba kwa mwenye kuufahamu mkoa wa morogoro vizuri mimi ni mwalimu tarajari wa shule za misingi.
napenda kuufahamu mkoa huu katika nyanja zifuatazo;_
1. uwekezaji hususani kilimo na ufugaji vinafanyikaje.
2. mawasiliano ya simu, na miundo mbinu ya usafiri.
3. hali ya hewa kiujumla
4.huduma za afya na nishati ya umeme.
5.ghalama za maisha ,hususani nyumba za kupanga na bei za vyakula
6.naomba kujua orodha ya shule za misingi kata ya mzumbe.
NB; Maelezo yajikite katika wilaya ya mvomero na kilombero
asanteni.
 
Nna uzoefu na Kilombero,hasa makao makuu ya wilaya na baadhi ya maeneo ya vijijini...Kwa kilimo pako vizuri hasa kilimo cha mpunga na sasa wanalima vitunguuu,kwa biashara za kawaida pako vzuri tooo,gharama za nyumba si kubwa sana,ukilinganisha na miji kama DSM,mawasilino naona yako powa,kuanzia ya simu na intanet,ila ajabu japo wilaya ina mito mingi ila kuna shida ya maji kwelikweli pamoja na umeme pia.....Kuhusu gharama za maisha ni kwamba ziko juu kwenye mahitaj ya mboga maana Ifakara mchele ni rahis ila mboga ni xpensive,usafiri upo fresh frm MORO,tatizo kuanzia kidatu ni rough road
 
asante,kwa wadau wote waliochangia mada yangu hapo juu. wenye maelezo zaidi tafadhari nisaidieni jamani
 
Nna uzoefu na Kilombero,hasa makao makuu ya wilaya na baadhi ya maeneo ya vijijini...Kwa kilimo pako vizuri hasa kilimo cha mpunga na sasa wanalima vitunguuu,kwa biashara za kawaida pako vzuri tooo,gharama za nyumba si kubwa sana,ukilinganisha na miji kama DSM,mawasilino naona yako powa,kuanzia ya simu na intanet,ila ajabu japo wilaya ina mito mingi ila kuna shida ya maji kwelikweli pamoja na umeme pia.....Kuhusu gharama za maisha ni kwamba ziko juu kwenye mahitaj ya mboga maana Ifakara mchele ni rahis ila mboga ni xpensive,usafiri upo fresh frm MORO,tatizo kuanzia kidatu ni rough road

asante, mungu akubariki
 
kwa mvomero wanalima mpunga hasa maeneo ya A: TURIANI ,ni pazuri ,though kuna barabara ya vumbi,network ipo Na huduma cha afya zipo ,gharama za maisha ni za kawaida tu B.:MZUMBE ,nipazuri pia ,network fully,ni karibu na mjini ,gharama za maisha zipo juu kwa sababu ya chuo,kupanga chumba cha kawaida sh,50000 na kuendelea ila unaweza kupanga maeneo mengne yenye gharama nafuu mf.kipera ,sangasanga na mlali maeneo haya kunashida ya maji.WANALIMA NYANYA KIPERA NA MLALI N.B MVOMERO NI PAKUBWA KUNA MAENEO MENGINE yapo pembezoni mf, kuna maskati ,kinda ,semwali ni maeneo yenye milima mingi wanalima sana maharagwe na magimbi ,gharama za maisha si ghali, barabara mbaya ,network shida na huduma za afya c nzur ila maji yapo.MGETA kuna milima ya kutosha ,barabara nzur kias,gharama za maisha ni cheap kias ,maji yapo ya kutosha ,network ipo ,huduma za afya somehow good,kilimo cha huku wanategemea umwagiliaji ,usafir ni mgum hasa vjiji vilvyo ndani zaid lazma mtu atembee umbal mrefu ndo afike main road
 
kwa mvomero wanalima mpunga hasa maeneo ya A: TURIANI ,ni pazuri ,though kuna barabara ya vumbi,network ipo Na huduma cha afya zipo ,gharama za maisha ni za kawaida tu B.:MZUMBE ,nipazuri pia ,network fully,ni karibu na mjini ,gharama za maisha zipo juu kwa sababu ya chuo,kupanga chumba cha kawaida sh,50000 na kuendelea ila unaweza kupanga maeneo mengne yenye gharama nafuu mf.kipera ,sangasanga na mlali maeneo haya kunashida ya maji.WANALIMA NYANYA KIPERA NA MLALI N.B MVOMERO NI PAKUBWA KUNA MAENEO MENGINE yapo pembezoni mf, kuna maskati ,kinda ,semwali ni maeneo yenye milima mingi wanalima sana maharagwe na magimbi ,gharama za maisha si ghali, barabara mbaya ,network shida na huduma za afya c nzur ila maji yapo
Then kuna Doma ipo karibu na Mbuga ya Mikumi,binafsi naona bora Kilombero kuliko Mvomero hasa hii Mvomero ya MZUMBE,Mvomero nzuri ni ile ya TURIANI tena kule madinizini au DAKAWA,kwa sababu changamoto kubwa ni maji,umeme japo kwa sasa unasogeasogea baadhi ya vijiji ila kuna changamoto ya huduma muhimu kama afya,hasa yale maeneo ya umasaini.............. CC Joel cole
 
Last edited by a moderator:

asante, kwa ufafanuzi wako mungu akubariki
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom