Msaada Kwa Watumiaji wa DSTV

Msaada Kwa Watumiaji wa DSTV

HAMY-D

JF-Expert Member
Joined
Sep 18, 2011
Posts
7,146
Reaction score
3,829
Habari?

Naomba kujua malipo ya mwezi kwa watumiaji wa DSTV explora tafadhali. Maana nimefanya malipo kwa Tshs 142,000 kama ilivyo ada ila TV yangu ina display E 16-4. Nimepiga simu customer care naona wanamaliza vocha yangu pasipo kusema kinachoeleweka.

Msaada tafadhali.
 
Vifurushi vya DSTV. 18,500/- 35,000/- 56,000/- 135,000/- 168,000/- chagua lipia kwa nafasi yako.
 
Wameongeza gharama ezakuwa kiasi ulichotoa hakitoshi kwa package unayoitaka. Mfano mimi nilikuwa nikilipia 54 sasa kama sikosei nalipa 65. Yani wametuongezea gharama wakat channel ni zilezile
 
Habari?

Naomba kujua malipo ya mwezi kwa watumiaji wa DSTV explora tafadhali. Maana nimefanya malipo kwa Tshs 142,000 kama ilivyo ada ila TV yangu ina display E 16-4. Nimepiga simu customer care naona wanamaliza vocha yangu pasipo kusema kinachoeleweka.

Msaada tafadhali.

soma mesej inayokuja na E 16 kuna maelekezo na namba uktaka kujua kama unadaiwa unatuma neno Due na ID numba yko kwenye namba IPO inaanza na 15.... au tuma Reset ID # yko then tuma kwa numba hyo hhyo inayoanza na 15....kama hudaiw itafunguka
 
Habari?

Naomba kujua malipo ya mwezi kwa watumiaji wa DSTV explora tafadhali. Maana nimefanya malipo kwa Tshs 142,000 kama ilivyo ada ila TV yangu ina display E 16-4. Nimepiga simu customer care naona wanamaliza vocha yangu pasipo kusema kinachoeleweka.

Msaada tafadhali.

Ni 168,000 hicho ni premium hakiitwi Explora. Kama umelipa kwa Mpesa, Tigopesa. ..etc. Ongeza hiyo tofauti 26,000 tu.
 
142,000 ni bei ya zamani kwa premium ongzea pesa lipa 168,000 kama unataka hicho kifurushi hiyo ndio current price ukishafanya hivyo wapigie Multichoice wakureset au kama umehama kifurushi waku-upgrade.
Namba hii hapo +255768988800 uwe na namba ya account yako pembeni ukipiga subiri uunganishwe na customer care Multichoice call centre mueleze shida yako utasaidiwa.
 
Ni 168,000 hicho ni premium hakiitwi Explora. Kama umelipa kwa Mpesa, Tigopesa. ..etc. Ongeza hiyo tofauti 26,000 tu.

Explora ni aina ya Decoder ambayo ninayo. Package yake ambayo uwa nailipia tangu nimenunua ni premium. Uwa nalipia Tshs. 142,000 (bila kurekodi).

Sasa kutokana na ongezeko la bei nilitaka kujua kiasi kilicho salia ili nilipie na naamini humu kuna mtu atakuwa na ufahamu kuhusu hili.

Pia, due payment ilikuwa April 10 ila mimi nililipia April 03. Na tatizo nikaanza kuliona ilipofika April 10 la hiyo sign ya E 16-4 kwenye TV.
 
Sasa kutokana na ongezeko la bei nilitaka kujua kiasi kilicho salia ili ni-enjoy huduma.

Explora ni TZS 190,000/= kwa sasa. Wengi hawakujua mabadiliko haya
 
Explora ni aina ya Decoder ambayo ninayo. Package yake ambayo uwa nailipia tangu nimenunua ni premium. Uwa nalipia Tshs. 142,000 (bila kurekodi).

Sasa kutokana na ongezeko la bei nilitaka kujua kiasi kilicho salia ili ni-enjoy huduma.

Pia, due payment ilikuwa April 10 ila mimi nililipia April 03. Na tatizo nikaanza kuliona ilipofika April 10 la hiyo sign ya E 16-4 kwenye TV.

Hapo hujaelewa nn? Ni 168,000 sio 142,000 tena!!!
 
hivi mnawalipa hao wa sauth wakati wanatuulia ndugu zetu na tena tuliwasaidua kupata uhuru nimekitupa kwa kukichoma moto king'amuzi na dish kama vile walivyootuulia ndugu zetu kwa kuwachoma moto hasa kuna clip niliipata wakimchoma mtoto mdogo roho imeniuma sana nawachukia hata sitaki kusikia south afrika. Roho na nafsi yangu inaumia sana na kuanzia kesho line yangu ya voda naitupa sihitaji tena huduma yao Mungu nisamehe kwa hili nalolifanya.
 
Explora ni aina ya Decoder ambayo ninayo. Package yake ambayo uwa nailipia tangu nimenunua ni premium. Uwa nalipia Tshs. 142,000 (bila kurekodi).

Sasa kutokana na ongezeko la bei nilitaka kujua kiasi kilicho salia ili nilipie na naamini humu kuna mtu atakuwa na ufahamu kuhusu hili.

Pia, due payment ilikuwa April 10 ila mimi nililipia April 03. Na tatizo nikaanza kuliona ilipofika April 10 la hiyo sign ya E 16-4 kwenye TV.

Starehe gharama ongeza mpunga tuu ndugu.
 
Mi sijalipia mwezi wa pili sasa, sijui kama kuna mabadiliko.
 
Ni ujinga kulipia laki na 60 kisa mpira au movie. Mie tv naangalia habari tu
 
Wameongeza gharama ezakuwa kiasi ulichotoa hakitoshi kwa package unayoitaka. Mfano mimi nilikuwa nikilipia 54 sasa kama sikosei nalipa 65. Yani wametuongezea gharama wakat channel ni zilezile

mtazid kuibiwa tu maana hamtambui haki zenu za msingi
 
Ni ujinga kulipia laki na 60 kisa mpira au movie. Mie tv naangalia habari tu

Mtazamo wako sio mzuri mkuu. Kila mtu anafanya apendacho kwa nafasi yake na uwezo wake. Kushindwa kwako kufanya kama wengine hakukupi uhuru wa kukashfu au kudhihaki wengine.

No hard feelings, nakushauri tu.
 
Ni ujinga kulipia laki na 60 kisa mpira au movie. Mie tv naangalia habari tu

Hela sio yako kinakuuma nini,we mbona unanua bia elfu tatu baada dakika tano unakojoa yote halafu unaongeza nyingine
 
Back
Top Bottom