Msaada kwa wataalamu wa mitandao.

Fungua account ya telegram. Unga namba yako kisha unda Grup. Tupia hizo nyinbo kwenye Grup. Baada ya Hapo restore simu yako kisha uza.

Ukinunua simu nyingine, pakua Telegram kisha login. Utalikuta like grup lina files zako
Sio group tu hata kujitumia mwenyewe kwenye account yako inawezekana, mimi nimetunza faili zangu kwenye account(inasomeka kama Saved messages)
 
Back
Top Bottom